stifleur
Senior Member
- Jul 10, 2016
- 103
- 107
Wengi usio na faida ni kama bureBongo jiji lenye macanali wengi
Wengi usio na faida ni kama bureBongo jiji lenye macanali wengi
Bure ghaliWengi usio na faida ni kama bure
Imebana pande zote au upande mmojaGhali tutauziwa amber ruty maana siku iz sheria imebana
Mmoja mwaminifu ndiye nimtakaeImebana pande zote au upande mmoja
Nimtakae ni Mungu pekeeMmoja mwaminifu ndiye nimtakae
Pekee natamba wengine mmelala!Nimtakae ni Mungu pekee
mmelala wapi leoPekee natamba wengine mmelala!
Leo nimekeshammelala wapi leo
Nimekesha nikiangaliwa watu wanashindwa ku like na KU quote Kama zamaniLeo nimekesha
Zamani kulikuwa maisha mazuriNimekesha nikiangaliwa watu wanashindwa ku like na KU quote Kama zamani
Mazuri mengi hufichwa na baya mojaZamani kulikuwa maisha mazuri
Moja ya sababu za Uzi huu kudorola Ni uvivuMazuri mengi hufichwa na baya moja
Uvivu ndo neno pekee ambalo hata ukilisoma kutokea kulia maana yake inafanana na kusoma toka kushotoMoja ya sababu za Uzi huu kudorola Ni uvivu
Kushoto Geuka, alisikika kamanda akisemaUvivu ndo neno pekee ambalo hata ukilisoma kutokea kulia maana yake inafanana na kusoma toka kushoto
Akisema maneno ya kijinga muache aende zakeKushoto Geuka, alisikika kamanda akisema
Maana ya maneno mengi ya utani siku hizi ni matusi kwa vijanaZake habari siku hizi hazina maana
Vijana wa siku hizi wanatakiwa wapelekwe darasani na BASATA kabisaMaana ya maneno mengi ya utani siku hizi ni matusi kwa vijana