Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 424
- 153
Kapotezwa mapema sana wakati bado anahitajikahaonekani tena kwa sababu kapotezwa
Kapotezwa mapema sana wakati bado anahitajikahaonekani tena kwa sababu kapotezwa
anahitajika hata kama amekufaKapotezwa mapema sana wakati bado anahitajika
Amekufa kimwili kiroho bado anakumbukwaanahitajika hata kama amekufa
Maisha ni popoteMabaya yote ulinitendea ila bado nmesamehe yaende maisha
Popote kambiMaisha ni popote
Kambi ya wakimbizi mtabilaPopote kambi
usafiri usio na mashaka ni ndegeMtabila hakuna usafiri
Ndege pia n jina la member humu jf anajiita ndege Johnusafiri usio na mashaka ni ndege
John kwa kiswahili ni YohanaNdege pia n jina la member humu jf anajiita ndege John
yohana ni mrefu sanaJohn kwa kiswahili ni Yohana
anaboa km sinema za kibongoSana mpaka anaboa
Sana sana ukiwa umelewa halafu hujui unaimba nini!
Nini pia ni wimbo nadhani aliimba Nasri hapa hapa bongoSana sana ukiwa umelewa halafu hujui unaimba nini!
Bongo jiji lenye macanali wengiNini pia ni wimbo nadhani aliimba Nasri hapa hapa bongo