Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Zaidi kweli maana naona wewe unayo 30 wakati wenzio wana 20 tuInatisha, basi kwetu mimi ndo mwenye meno zaidi!
Zaidi kweli maana naona wewe unayo 30 wakati wenzio wana 20 tuInatisha, basi kwetu mimi ndo mwenye meno zaidi!
Ukweli japo unauma lakini ni kama kioo.Naona umefurahi kuambiwa ukweli
Kioo hakidanganyi japo wasanii wetu wanadaganyaUkweli japo unauma lakini ni kama kioo.
Wanadanganya ili kupata kipatoKioo hakidanganyi japo wasanii wetu wanadaganya
Kipato si zaidi ya utu waoWanadanganya ili kupata kipato
Kipato si zaidi ya utu wao
Juma Kakere alituma wimbo mmoja tu akapotea“Wao mama wao”, mwimbaji Juma Kakere
Akapotea na kwenda kusiko julikanaJuma Kakere alituma wimbo mmoja tu akapotea
Kusikojulikana, hapana, yupo katunga nyimbo nyingi na anaendelea kutungaAkapotea na kwenda kusiko julikana
Anaendelea kutunga? Mbona hatuzisikiiKusikojulikana, hapana, yupo katunga nyimbo nyingi na anaendelea kutunga
Hatuzikii, sema huzisikii mbona yipo kwenye YoutubeAnaendelea kutunga? Mbona hatuzisikii
Youtube sijawahi kuziona, hebu nitajie zinaitwajeHatuzikii, sema huzisikii mbona yipo kwenye Youtube
Zinaitwaje yaani kwa majina, ukimtafuta youtube utampata tuYoutube sijawahi kuziona, hebu nitajie zinaitwaje
Zinaitwaje yaani kwa majina, ukimtafuta youtube utampata tu
Kunisaidia pia tusiitawale JF mimi na wewe tuTusaidiane bwana, yaani mpaka mimi nihangaike kumtafuta wakati unaweza kunisaidia?
Tufanyeje sasa? Tuache kujibizana?Kunisaidia pia tusiitawale JF mimi na wewe tu