Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 424
- 153
Kufanya maamuzi magumu kuna faida wakati mwingineMaishani Kuna mengi ya kufanya
Kufanya maamuzi magumu kuna faida wakati mwingineMaishani Kuna mengi ya kufanya
Mwingine nae anasema "kufyekelea mbali" Kama mzee wa watapata taabu sanaKufanya maamuzi magumu kuna faida wakati mwingine
Sana Sana wataniachia Uzi huu peke yangu niji quote Kama hivi na niwe mshindiMwingine nae anasema "kufyekelea mbali" Kama mzee wa watapata taabu sana
mshindi huwezi kuwa ww km mimi nipoSana Sana wataniachia Uzi huu peke yangu niji quote Kama hivi na niwe mshindi
Daima na milele tuchukue utumwani ewe mfalme mwenye kipara kama jua la kiamaWa mwisho ndo mshindi daima
Kiama ndio kitu ganiDaima na milele tuchukue utumwani ewe mfalme mwenye kipara kama jua la kiama
Kitu gani? Ina maana hujui kuwa kiama ni siku ya mwisho wa duniaKiama ndio kitu gani
Dunia ipi unayozungumzia wewe hii ya Trumph na KimKitu gani? Ina maana hujui kuwa kiama ni siku ya mwisho wa dunia
City hunter ndio nini kwa kiswahiliKim Jong shik nilimuona kwenye city hunter
Mjini hakuna hunter,mjadala ufungwe Mimi ndo mshindiKiswahili ni mwindaji mjini
Mshindi unapewa zawadi gani?Mjini hakuna hunter,mjadala ufungwe Mimi ndo mshindi
Zawadi gani? Hakuna zawadi hapa ni kujifurahisha tuMshindi unapewa zawadi gani?
Tufurahishane basi!Zawadi gani? Hakuna zawadi hapa ni kujifurahisha tu
Basi sitaki maana mipengo yako inanitishaTufurahishane basi!

Inatisha, basi kwetu mimi ndo mwenye meno zaidi!Basi sitaki maana mipengo yako inanitisha![]()