bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Kujibizana ni wajib, wanasema, wewe ukisusa wenzio wala!Tufanyeje sasa? Tuache kujibizana?
Kujibizana ni wajib, wanasema, wewe ukisusa wenzio wala!Tufanyeje sasa? Tuache kujibizana?
Kazi bongo? Tunachoshana tu bureWala! nini tena imefika mida ya kazi
Bure bure ilikuwa Ni mahaba ya zamaniKazi bongo? Tunachoshana tu bure
Zamani ipi hiyo unayoizungumzia?Bure bure ilikuwa Ni mahaba ya zamani
Unayoizungumzia wewe Ni ile ya kampa kampa Tena!Zamani ipi hiyo unayoizungumzia?
Kampa kampa tena na mupe murukeUnayoizungumzia wewe Ni ile ya kampa kampa Tena!
Mupe muruke mpaka hewaniKampa kampa tena na mupe muruke
Hewani kuna vijidudu mbalimbali ambavyo tunavivuta pamoja hewaMupe muruke mpaka hewani
Hewa ya baharini ni joto kuliko mlimaniHewani kuna vijidudu mbalimbali ambavyo tunavivuta pamoja hewa
Mlimani kuna hewa kwa kua na mwinukoHewa ya baharini ni joto kuliko mlimani
Mwinuko,bonde,korongo,mteremko,shimo vyote havifanani na kichuguuMlimani kuna hewa kwa kua na mwinuko
kichuguu ni niniMwinuko,bonde,korongo,mteremko,shimo vyote havifanani na kichuguu
Nini kilichokufanya uulize manaake!kichuguu ni nini
Kufahamu kitu kisichokuhusu Ni Dalili za umbeaMaanake anataka kufahamu
kingine kuingilia mada ambayo haikuhusu nao ni umbeaUmbea ni kipaji kingine
Kwa kweli nimewamiss sana watu wangu kwenye huu uziUmbea ni tabia mbaya sana kwakweli
Uzi huu kwa kuwa haukuwekewa mda, hauna mwisho. Ulikuwa wapi kwani!Kwa kweli nimewamiss sana watu wangu kwenye huu uzi
Kwani unadhani sikuwepo, nilikuwepo ila nilikuwa busy kuikimbiza shilingiUzi huu kwa kuwa haukuwekewa mda, hauna mwisho. Ulikuwa wapi kwani!