Mchezo wetu huu ni mgumu basi tu watu hawajuiWanajiandikia chochote ili nao waonekane wamecheza mchezo wetu.
Hawajui kama fareed kubanda alizaliwa mwezi AugustMchezo wetu huu ni mgumu basi tu watu hawajui
Agosti umeshapita tutajie waliozaliwa mwezi OktobaHawajui kama fareed kubanda alizaliwa mwezi August
Agosti umeshapita tutajie waliozaliwa mwezi Oktoba
Nyerere baba wa taifa letu aliyejaa busara na hekimaOctober wamezaliwa wengi maarufu ila pia ndo mwezi tulimpoteza nyerere
Nyerere baba wa taifa letu aliyejaa busara na hekima
Hekima alikua nayo Suleiman wengine wababaishaji tu
Hekima mtu huzaliwa nayoWababaishaji tu? Ina maana hata jiwe jana hekima?
Nayo huongezeka kadri akuavyoHekima mtu huzaliwa nayo
Akuavyo mtoto ndio akili nazo hubadilikaNayo huongezeka kadri akuavyo
Hubadilika kama upepoAkuavyo mtoto ndio akili nazo hubadilika
Upepo uvumao pasipo kuonekanaHubadilika kama upepo
kuonekana kupo ila kwa vipimo vya kisayansiUpepo uvumao pasipo kuonekana
Ufundi Wa aina gani huoKufunga goli ni vigumu kama wapinzani wana kamati kubwa ya ufundi.
Huo unaoleta manufaa kuanzia kitandani hadi maishaniUfundi Wa aina gani huo
Maishani Kuna mengi ya kufanyaHuo unaoleta manufaa kuanzia kitandani hadi maishani