bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Shilingi bwana imeota mbawa hata ukiikimbiza haipatikaniKwani unadhani sikuwepo, nilikuwepo ila nilikuwa busy kuikimbiza shilingi
Shilingi bwana imeota mbawa hata ukiikimbiza haipatikaniKwani unadhani sikuwepo, nilikuwepo ila nilikuwa busy kuikimbiza shilingi
Haipatikani hata kwa tochi, yaani nimetafuta wee siioni, mpaka nimeamua tu kuachana nayoShilingi bwana imeota mbawa hata ukiikimbiza haipatikani
Haipatikani hata kwa tochi, yaani nimetafuta wee siioni, mpaka nimeamua tu kuachana nayo
Maisha bila pesa ni sawa na mboga bila chumviNayo ni sehemu ya maisha
chumvi ikizidi kwenye mboga inapoteza radhaMaisha bila pesa ni sawa na mboga bila chumvi
kukupenda zama hizi huwezi kumpata labda umpate wa kukutendaradha ya mapenzi upate wa kukupenda
Kukutenda ni sawa na kuku tenda au!kukupenda zama hizi huwezi kumpata labda umpate wa kukutenda
au umpate mtakaependanaKukutenda ni sawa na kuku tenda au!
Mtakaependana yupo ni suala la kumtafuta kwa umakini tuau umpate mtakaependana
umakini tu bila maarifa kwa kweli hutofika popoteMtakaependana yupo ni suala la kumtafuta kwa umakini tu
Popote kambi ni kauli inayowatesa wengi katika mahusianoumakini tu bila maarifa kwa kweli hutofika popote
Katika mahusiano hayahaya bwana mmoja alihonga gari la kampuniPopote kambi ni kauli inayowatesa wengi katika mahusiano
Sio kweliLeo mie
Leo Mimi tuSio kweli
UmechemkaLeo Mimi tu
Umechemka sana kusema Hajar ni wakoUmechemka
Umechemka sana kusema Hajar ni wako