Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hajasikilia kwa sababu hajaipata, je, umesikia mzigo mpya toka kwa Dizasta vina uitwao HATIA III
HATIA III nimeupenda, una ujumbe murua kabisa achana na akina Maua Sama kutwa kucha ni mapenzi
 
Vina vya Uzi huu sometimes ni vigumu mpaka kichwa kinapata moto
[emoji23][emoji23][emoji23] Kinapata moto kwelikweli, ndio maana wengi wanashingwa kwenda kwa hoja badala yake wanajiandikia chochote
 
Back
Top Bottom