Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kupeta ni hatua ya pili baada ya kutwangaHatuyasemi tunakausha tu ili jamii forums iendelee kupeta
Nalog off
Kupeta ni hatua ya pili baada ya kutwangaHatuyasemi tunakausha tu ili jamii forums iendelee kupeta
Nalog off
Kutwanga watu watatu kwenye kinu kimoja ni raha sana!Kupeta ni hatua ya pili baada ya kutwanga
Raha sana kivipi?Kutwanga watu watatu kwenye kinu kimoja ni raha sana!
Nalog off
Makosa niliyofanya ni aibu kuomba msamaha.Kivipi nikulaumu wakati huna makosa ?
Song gani linahit kwasasa hapa mjini?Mo Music kalleta new song
mjini habari ya sasa ni iokote ya maua samaSong gani linahit kwasasa hapa mjini?
Iokote ya Maua Sama, mbona siijui? Niwekee korasimjini habari ya sasa ni iokote ya maua sama
Maua Sama katisha sana kwenye ile ngomamjini habari ya sasa ni iokote ya maua sama
korasi tena we nenda youtube tu utaipataIokote ya Maua Sama, mbona siijui? Niwekee korasi
Ngoma ni kali sana nashangaa kwa nini best yangu Thad bado hajaickilizaMaua Sama katisha sana kwenye ile ngoma
Thad bado hajaiskiliza coz inasemekana wanawake kwa wanawake hawapendaniNgoma ni kali sana nashangaa kwa nini best yangu Thad bado hajaickiliza
Hajasikilia kwa sababu hajaipata, je, umesikia mzigo mpya toka kwa Dizasta vina uitwao HATIA IIINgoma ni kali sana nashangaa kwa nini best yangu Thad bado hajaickiliza
hawapendani hata kwenye muziki ila ngoja akausikilize halafu ataleta mrejeshoThad bado hajaiskiliza coz inasemekana wanawake kwa wanawake hawapendani
Hawapendani wa mjini sisi wa vijijini tunapendanaThad bado hajaiskiliza coz inasemekana wanawake kwa wanawake hawapendani
Mrejesho ni kwamba sijaupenda huo wimbohawapendani hata kwenye muziki ila ngoja akausikilize halafu ataleta mrejesho
Mrejesho atakaoleta ni "Nyimbo nzuri but ya kawaida sana"hawapendani hata kwenye muziki ila ngoja akausikilize halafu ataleta mrejesho