Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Kiutendaji kuna jamaa fulani kafeliSokoine hajapata wa kufanana nae kiutendaji
Nalog off
Kiutendaji kuna jamaa fulani kafeliSokoine hajapata wa kufanana nae kiutendaji
Kafel KinyamaKiutendaji kuna jamaa fulani kafeli
Nalog off
Kinyama kile ni kutamu nyie asikwambie mtuKafel Kinyama
Mtu wangu kwenye uzi huu simuoniKinyama kile ni kutamu nyie asikwambie mtu
Nalog off
Simuoni wa kulitwaa "kombe" hili!Mtu wangu kwenye uzi huu simuoni
Hili sio kombe ni burudani tuSimuoni wa kulitwaa "kombe" hili!
Tu, yaani hilo tu hakuna kitu kingine!Hili sio kombe ni burudani tu
Kingine ni kuoneshana mapenziTu, yaani hilo tu hakuna kitu kingine!
Mapenzi ya mimi fulaniKingine ni kuoneshana mapenzi
Fulani huyo ni nani? Mtaje usijeibiwaMapenzi ya mimi fulani
usijeibiwa ww maana ndio nilikua nakusubiriFulani huyo ni nani? Mtaje usijeibiwa
Nakusubiri umtaje umpendaeusijeibiwa ww maana ndio nilikua nakusubiri
umpendae ww anampenda mwingineNakusubiri umtaje umpendae
Mwingine naye ana ampendae wakeumpendae ww anampenda mwingine
wake kwa waume wapo ktk mtandao wa mapenziMwingine naye ana ampendae wake
Mapenzi matamu ukimpa anayekupenda.wake kwa waume wapo ktk mtandao wa mapenzi
anaekupenda kumpata ni kaziMapenzi matamu ukimpa anayekupenda.
Kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani.anaekupenda kumpata ni kazi
kinywani kuna mengi ambayo hatuyasemiKazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani.
Hatuyasemi tunakausha tu ili jamii forums iendelee kupetakinywani kuna mengi ambayo hatuyasemi