Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Yule bwana haniumizi kichwaDimpozi mashavuni mwako zinaonesha ni jinsi gani unavyounga mkono juhudi za bwana yule
Yule bwana haniumizi kichwaDimpozi mashavuni mwako zinaonesha ni jinsi gani unavyounga mkono juhudi za bwana yule
Kichwa kikianza kukuuma ndipo utakapojua bwana yule anamaliza PolepoleYule bwana haniumizi kichwa
Polepole hawezi kueneza chamaKichwa kikianza kukuuma ndipo utakapojua bwana yule anamaliza Polepole
Chama kina mambo mengi yaliyojifichaPolepole hawezi kueneza chama
Yaliyohificha ipo siku yatafichukaChama kina mambo mengi yaliyojificha
Yatafichuka na kuacha watu midomo waziYaliyohificha ipo siku yatafichuka
Wazi kama vazi la kahabaYatafichuka na kuacha watu midomo wazi
Kahaba ni yule anayejiuza hali akijua haipendezi katika jamiiWazi kama vazi la kahaba
Jamii hiyo hiyo isiyopendezwa ndio wateja wakeKahaba ni yule anayejiuza hali akijua haipendezi katika jamii
Wake kwa waume tupige vita jamii zenye mmomonyoko wa maadili ili tuokoe vizazi vyetuJamii hiyo hiyo isiyopendezwa ndio wateja wake
vizazi vyetu vinahitaji matibabu hospitalini ili tuendelee kufyatuanaWake kwa waume tupige vita jamii zenye mmomonyoko wa maadili ili tuokoe vizazi vyetu
kufyatuana kwa kua umeambiwa elimu ni bure nalo ni tatizovizazi vyetu vinahitaji matibabu hospitalini ili tuendelee kufyatuana
Tatizo watanzania ni waogakufyatuana kwa kua umeambiwa elimu ni bure nalo ni tatizo
waoga kwa kua hawajui haki zaoTatizo watanzania ni waoga
Haki zao wazijua lakini zinaminywawaoga kwa kua hawajui haki zao
Zinaminywa na viongozi wasio kua na maadiliHaki zao wazijua lakini zinaminywa
Maadili yamekwisha potea tangia enzi za mwalimuZinaminywa na viongozi wasio kua na maadili
Mwalimu nae angekuepo asingeweza kukabiliana na hali ya sasaMaadili yamekwisha potea tangia enzi za mwalimu
Sasa Angekausha kimya kimya kila asimuelewa Kama Mh sokoineMwalimu nae angekuepo asingeweza kukabiliana na hali ya sasa
Sokoine hajapata wa kufanana nae kiutendajiSasa Angekausha kimya kimya kila asimuelewa Kama Mh sokoine