Michael MC
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 227
- 191
Mbwa tu ndi anayeweza kubweka
Kubweka hata mbweha anabwekaMbwa tu ndi anayeweza kubweka
Anabweka mbwa,simba anaungurumaKubweka hata mbweha anabweka
Simba anaunguruma lakini sio mbele ya yangaAnabweka mbwa,simba anaunguruma
Nalog off
Bangi inaharibu akili za vijanaMmea mtamu kuliko yote Jamaica ni bhangi
Mwanamke mzuri ni yule anayeridhika na hali ya mume wake au boy friend wakeBalehe ni wakati ambao mvulana naye anajiona ni mwanamme kumbe badoo ni akili za balehe vivyo hivyo na kwa msichana naye anajiona ni mwanamke
Wake zangu waende kwa mswatiMwanamke mzuri ni yule anayeridhika na hali ya mume wake au boy friend wake
Mswati ndio yule mfalme anaeoa wake wengiWake zangu waende kwa mswati
leo ni weekend wapo busyWengi wapo kimya leo