fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
busy kweli kwa kua maskini hana likizoleo ni weekend wapo busy
busy kweli kwa kua maskini hana likizoleo ni weekend wapo busy
Likizo yangu imeanza naenda kwetubusy kweli kwa kua maskini hana likizo
kwetu pazuri ni nyimbo ya injiliLikizo yangu imeanza naende kwetu
Injili,zaburi na Taurati Ni vitabu pendwa na waaminiokwetu pazuri ni nyimbo ya injili
waaminio ndio watakaouona ufalme wa mbinguniInjili,zaburi na Taurati Ni vitabu pendwa na waaminio
Mbinguniiii ndio sehemu gani?waaminio ndio watakaouona ufalme wa mbinguni
sehemu gani ilipotokea duniaMbinguniiii ndio sehemu gani?
Dunia tambara bovusehemu gani ilipotokea dunia
bovu km bombadierDunia tambara bovu
Bombadier ni usafiri wa jiwebovu km bombadier
jiwe lililowashinda waashiBombadier ni usafiri wa jiwe
Waashi wanatamani livunjikejiwe lililowashinda waashi
Vipande vingine huku vingine hukoLivunjike vipande vipande
Huko huko kwenu huku kwetu hatuvihitajiVipande vingine huku vingine huko
Hatuvihitaji na sisi lakini vitakuja bila taarifaHuko huko kwenu huku kwetu hatuvihitaji
Taarifa unayotakiwa kuwa nayo ni kwamba havitakuja kwenu maana jiwe halitavunjikaHatuvihitaji na sisi lakini vitakuja bila taarifa
Halitavunjika? machozi yanatiririka mashavuni mwanguTaarifa unayotakiwa kuwa nayo ni kwamba havitakuja kwenu maana jiwe halitavunjika

Mashavuni mwangu kuna dimpoziHalitavunjika? machozi yanatiririka mashavuni mwangu![]()
![]()
Dimpozi mashavuni mwako zinaonesha ni jinsi gani unavyounga mkono juhudi za bwana yuleMashavuni mwangu kuna dimpozi