Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Upinzani sio lazima upinge, hata hiki ulichokifanya hapa cha kupost bila kufuata kanuni za huu uzi ni upinzani pia.
Upinzani pia? Nani anataka upinzani wakati tunarudi kwenye zama cha chama kushika hatamu za uongozi
 
Watachoka vipi wakati uchumi umekua
Umekua vipi wakati pesa zote na madili yote ya serikali ameyakamatia DAB na baba yake?Hela mtaani hakuna mzee baba na ukionekana wewe ni kihere here cha kumsema mtoto pendwa wanakusukumia kesi za madawa ya kulevya.Yani unapigwa Lupango moja kwa moja
 
Back
Top Bottom