Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mbao moja kuiangukia simba haiumi kuliko chura kumng'ata simba
Afadhali hata kumbe mpo mnaoitaja Mbao kwa usahihi.

Juzi nilikuwa naangalia mpira kwenye baa moja, wakaja Wavuta bangi fulani wakawa wanaitaja hiyo Mbao kwa kuiacha ile 'a' na kuongeza 'o' nyingine.

Kero zaidi ni jinsi walivyokuwa wanapiga kelele kwamba hao Mbao (lakini kwa wanavyoitaja wao) waingieni hao Simba.

Alafu bado kuna Watu wana support kuruhusiwa kwa bangi kule South.
 
Kwakuwa niwavuta bangi kama ulivyosema siyo shida kwao kutamka walivyo tamka ni bangi ndiyo iliyowatuma
 
Back
Top Bottom