fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
man fizo hajui magharibi mwa tanzania ndio wapi hebu mjuzeNini usichokijua magharibi mwa Tanzania man fizo?
man fizo hajui magharibi mwa tanzania ndio wapi hebu mjuzeNini usichokijua magharibi mwa Tanzania man fizo?
Mjuze mtanzania mwenzako kuwa leo simba yupo dimbaniman fizo hajui magharibi mwa tanzania ndio wapi hebu mjuze
dimbani leo anacheza na naniMjuze mtanzania mwenzako kuwa leo simba yupo dimbani
Nani mwingine kama siyo mwaduidimbani leo anacheza na nani
mwadui kocha wake ni nani mara ya mwisho namjua julioNani mwingine kama siyo mwadui
Julio alipoondoka sijui aliechukua timu ni nanimwadui kocha wake ni nani mara ya mwisho namjua julio
nani aliyemfunga simba mechi iliyopitaJulio alipoondoka sijui aliechukua timu ni nani
Iliyopita ni mbaonani aliyemfunga simba mechi iliyopita
mbao ni jirani yake basi mwadui basi kipigo kipo palepaleIliyopita ni mbao
Palepale shinyanga mwadui atapata kipigo cha mbwa kokombao ni jirani yake basi mwadui basi kipigo kipo palepale
mbwa koko watakuepo taifa siku ya derby ili kuwazuia msing'oe vitiPalepale shinyanga mwadui atapata kipigo cha mbwa koko
Viti vyote vitakaliwa na mashabiki wa simbambwa koko watakuepo taifa siku ya derby ili kuwazuia msing'oe viti
Simba msimu huu haichukui ubingwaViti vyote vitakaliwa na mashabiki wa simba
simba hawawezi kuja labda kwenye benchi awepo masoud jumaViti vyote vitakaliwa na mashabiki wa simba
Ubingwa ni wa simba hata jiwe anajuaSimba msimu huu haichukui ubingwa
Jiwe anajua kua nyingi ni vilaza coz Mara ya mwisho mlifungwa na Kagera Sugar mbele yakeUbingwa ni wa simba hata jiwe anajua
Masoud juma ndiye atakayepanga kikosi kitakacho wauwa wale vyura wa bwawanisimba hawawezi kuja labda kwenye benchi awepo masoud juma
bwawani kumejaa mbaoMasoud juma ndiye atakayepanga kikosi kitakacho wauwa wale vyura wa bwawani
Mbele yake atashuhudia simba wakitafuna vyuraJiwe anajua kua nyingi ni vilaza coz Mara ya mwisho mlifungwa na Kagera Sugar mbele yake
Mbao moja kuiangukia simba haiumi kuliko chura kumng'ata simbabwawani kumejaa mbao