Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

yanayokinzana kati yao wenyewe viongozi kwa viongozi.
Viongozi wetu wanatakiwa kuwa makini sana, ajali ya kivuko Mwanza wanasema hawajui abiria walikuwa wangapi, pia chanzo cha ajali hakijulikani!
 
Viongozi wetu wanatakiwa kuwa makini sana, ajali ya kivuko Mwanza wanasema hawajui abiria walikuwa wangapi, pia chanzo cha ajali hakijulikani!
Hakijulikani vipi? Ina maana hawajui kuwa ni uzembe na ubovu wa miundombinu?
 
Hatari zaidi ni kujaza watu kwenye vyombo vya majini wakati wakijua fika kuwa chombo kikizidiwa kinaweza kuzama
kuzama ni jambo moja,ila kuachwa usiku na kuendelea na zoezi la uokoaji asubuhi yake na jambo la kusikitisha zaidi
 
Back
Top Bottom