fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
maisha ni magumu sana kwa watumishi wa uma hasa walimuKisaikolojia walimu wameshavurugwa na maisha
maisha ni magumu sana kwa watumishi wa uma hasa walimuKisaikolojia walimu wameshavurugwa na maisha
Walimu wanadharauliwa japokuwa wana umuhimumaisha ni magumu sana kwa watumishi wa uma hasa walimu
Umuhimu thread hii ni mkubwaWalimu wanadharauliwa japokuwa wana umuhimu
KeshoTafadhali nataka kujua huu mchezo unaisha Lin?
Haiwajali japokuwa wote tumefika hapa tulipo kwa juhudi zaoUmuhimu wao hauonekani kwa serikali haiwajali
Juhudi zao zinakwamishwa na jiwe.Haiwajali japokuwa wote tumefika hapa tulipo kwa juhudi zao
Jiwe mwenyewe alikuwa mwalimu lakini ameshindwa kuwathamini wenzake kabisaJuhudi zao zinakwamishwa na jiwe.
kabisa ila yeye ni kichaa kwa hiyo haishangaziJiwe mwenyewe alikuwa mwalimu lakini ameshindwa kuwathamini wenzake kabisa
Haishangazi raisi kujisifia u kichaa wakekabisa ila yeye ni kichaa kwa hiyo haishangazi
ukichaa wake ni mzuri ndio maana anajisifuHaishangazi raisi kujisifia u kichaa wake
Anajisifia bure, watu tunapata tabu mtaaniukichaa wake ni mzuri ndio maana anajisifu
mtaani ni kugumu km usipofanya kaziAnajisifia bure, watu tunapata tabu mtaani
Mtaan kugum jamanAnajisifia bure, watu tunapata tabu mtaani
Kazi tunafanya lakini pesa haionekanimtaani ni kugumu km usipofanya kazi
Jamani Ambi upo?Mtaan kugum jaman
haionekani kwa kua na matumizi mengi yasiyo ya lazimaKazi tunafanya lakini pesa haionekani
Lazima pesa itumiwehaionekani kwa kua na matumizi mengi yasiyo ya lazima
itumiwe ktk njia sahihiLazima pesa itumiwe