Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,117
- 122,526
Hilo neno silijuiNini sababu ya kuuliza swali Hilo?
Hilo neno silijuiNini sababu ya kuuliza swali Hilo?
Silijui neno Hajar maana yakeHilo neno silijui
Yake ilikuwa mbaya saana kuliko yako
Uhuru uko wapi watanzania wanaambiwa watapata tabu saanaYako wapi maisha mazuri baada ya uhuru!
Sana Sana Ni kujiandaa kwa kauli zaoUhuru uko wapi watanzania wanaambiwa watapata tabu saana
Zao la ufuta Ndo lilishakufaSana Sana Ni kujiandaa kwa kauli zao
Lilishakufa tangu Zama za kale za chumaZao la ufuta Ndo lilishakufa
Zaidi ya yote Ni kununua karataChuma na jiwe kipi kigumu zaidi
Karata tatuZaidi ya yote Ni kununua karata
Watu ni wengi lakini binAdam ni wachacheKarata tatu
Ni zaidi ya upatu
Ukizubaa utapigwa ng'watu
Huu mchezo mtamu
Ingawa unapingwa na wa watu..,
Wachache Sana wanaendeleza nao.....Watu ni wengi lakini binAdam ni wachache
Nao"now" nataka Taifa lenye Nguvu Duniani liwe Tanzania, Jamani makofi kidogo Tafadhali.Wachache Sana wanaendeleza nao.....
Tafadhali nataka kujua huu mchezo unaisha Lin?Nao"now" nataka Taifa lenye Nguvu Duniani liwe Tanzania, Jamani makofi kidogo Tafadhali.
Lin, kwa jinsi ilivyo nadhani ni jina la mtu!Tafadhali nataka kujua huu mchezo unaisha Lin?
Mtu gani, wa wapi uyo??Tafadhali nataka kujua huu mchezo unaisha Lin?
Amekuponza alokwambia ahadi Ni deniUyo aliyekudanganya Ndo amekuponza
Deni ukikopa lazima ulipeAmekuponza alokwambia ahadi Ni deni