captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Dhaifu ilikuwa sifa ya watu wenye kiwango kikubwa Cha uogaMh Mwigulu ni dhaifu
Dhaifu ilikuwa sifa ya watu wenye kiwango kikubwa Cha uogaMh Mwigulu ni dhaifu
uoga ndio unaotufanya jiwe aendelee kua madarakaniDhaifu ilikuwa sifa ya watu wenye kiwango kikubwa Cha uoga
Wapo? Kina nani hao?Madarakani hata wasiokuwa na uwezo wa kuongoza wapo
Hao hao akina nani?Hao hao tu [emoji40][emoji40][emoji40]
woga ndio mtaji wa watawalaThad Siogopi kitu kwakuwa siamini katika woga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watawala tunawaendekeza kwa kuwaogopawoga ndio mtaji wa watawala
kuwaogopa ni lazima maana wao ndio wameshika upanga na sisi makaliWatawala tunawaendekeza kwa kuwaogopa
Makali ya upanga tunayashika kwa miaka mitanokuwaogopa ni lazima maana wao ndio wameshika upanga na sisi makali
mitano inazaa mitano ndio maana mpaka leo ccm ipo madarakaniMakali ya upanga tunayashika kwa miaka mitano
Madarakani ipo siku watatoka tu maana kila lenye mwanzo lina mwishomitano inazaa mitano ndio maana mpaka leo ccm ipo madarakani
mwisho wake ni lini maana raia wameshaichokaMadarakani ipo siku watatoka tu maana kila lenye mwanzo lina mwisho