Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kuzitafuta pesa wanajua sana, wewe unadhani kudanga ni kazi rahisiSavanah ishakua mkombozi wa wengi ee..ila sio mbaya wajue na kuzitafuta pesa
Kuzitafuta pesa wanajua sana, wewe unadhani kudanga ni kazi rahisiSavanah ishakua mkombozi wa wengi ee..ila sio mbaya wajue na kuzitafuta pesa
Rahisi kwa waliojiajiri maana nasikia inahitaji uwe na akili ya ziada ili umshawishi mteja kutoaKuzitafuta pesa wanajua sana, wewe unadhani kudanga ni kazi rahisi
Kutoa ni moyo na si utajiriRahisi kwa waliojiajiri maana nasikia inahitaji uwe na akili ya ziada ili umshawishi mteja kutoa
Kutoa ni moyo na si utajiri
Bangi ni kiburudisho cha akili ukiitumia vibaya inakupa uchiziUtajiri ni utajiri hata kama umetokana na kuuza bangi.
Uchizi hauna adabu na ndio maana unaweza vua nguo mbele ya mama na dada zak oBangi ni kiburudisho cha akili ukiitumia vibaya inakupa uchizi
Zako zikiisha njoo uchukue zanguUchizi hauna adabu na ndio maana unaweza vua nguo mbele ya mama na dada zak o
Zangu ni mishe mishe baharini na ufukweniZako zikiisha njoo uchukue zangu
ufukweni kuna madem wazuri sana kama huyuZangu ni mishe mishe baharini na ufukweni
Huyu dem ni mzuri sana atakua anatokea indiaufukweni kuna madem wazuri sana kama huyu View attachment 864976
Lini ulikula ndagu?Tafadhali nataka kujua huu mchezo unaisha Lin?
ndagu ni nini mkuuLini ulikula ndagu?
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mmesikia alichosema?ndagu ni nini mkuu
alichosema ni kipi tena maana matamko ni mengiMkuu wa wilaya ya Arumeru mmesikia alichosema?
Mengi ameyasema ila kubwa kuliko ni la kila mwalimu kufundisha syllabus 3 kwa mwezialichosema ni kipi tena maana matamko ni mengi
kwa mwezi ni mwalimu wa secondary or primaryMengi ameyasema ila kubwa kuliko ni la kila mwalimu kufundisha syllabus 3 kwa mwezi
Primary na sekondari wote kwa pamojakwa mwezi ni mwalimu wa secondary or primary
pamoja duh wanafunzi na walimu wajiandae kisaikolojiaPrimary na sekondari wote kwa pamoja
Kisaikolojia walimu wameshavurugwa na maishapamoja duh wanafunzi na walimu wajiandae kisaikolojia