fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
kuolewa ni jambo linalowatesa sana wanawake wa zama hiziLazima kama kakubali kuolewa,,
kuolewa ni jambo linalowatesa sana wanawake wa zama hiziLazima kama kakubali kuolewa,,
Wa zama hizi wengi wao ni magugu maji!kuolewa ni jambo linalowatesa sana wanawake wa zama hizi
Maji ukiyavulia nguo Shari uyaogeWa zama hizi wengi wao ni magugu maji!
UyaogeMaji ukiyavulia nguo Shari uyaoge
Uyaoge wakati sabuni umeishiwa?Uyaoge
umeishiwa sababu ya uzembe wako fanya kaziUyaoge wakati sabuni umeishiwa?
Kazi ni kipimo cha utuumeishiwa sababu ya uzembe wako fanya kazi
Utu ni kumthamini, kumheshimu na kujitambua wewe ni nani katika jamiiKazi ni kipimo cha utu
Jamii ni mimi, wewe na yuleUtu ni kumthamini, kumheshimu na kujitambua wewe ni nani katika jamii
Yule nampenda jinsi alivyo simpleJamii ni mimi, wewe na yule
Simple kama x busy kama taxiYule nampenda jinsi alivyo simple
Tax bei mbaya, bora uchukue bajajiSimple kama x busy kama taxi
Bajaji hazipo huku kwetu NanjilinjiTax bei mbaya, bora uchukue bajaji
Nanjilinji kuna usafiri wa fisiBajaji hazipo huku kwetu Nanjilinji
Fisi tuliwatumia zamani siku hizi tunatumia bodabodaNanjilinji kuna usafiri wa fisi
Bodaboda ni usafiri hatariFisi tuliwatumia zamani siku hizi tunatumia bodaboda
Hatari ni kufanya mapenzi bila kingaBodaboda ni usafiri hatari
Tiba ni ugonjwa ukifa tunakuzika nao,kinga ni bora kuliko tiba
Nao walikula wakashiba mpaka wakasazaTiba ni ugonjwa ukifa tunakuzika nao,