Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Mwetu hamna kesho bali mashaka tupuKesho yetu ipo mikononi mwetu
Mwetu hamna kesho bali mashaka tupuKesho yetu ipo mikononi mwetu
Tupu ya mwanadamu ndio jinsia yakeMwetu hamna kesho bali mashaka tupu
Yake ni jinsi sio jinsiaTupu ya mwanadamu ndio jinsia yake
Jinsia ni nini???Yake ni jinsi sio jinsia
Nini? Inamaana hujui kuwa ni mahusiano ya kijamii na kiutamaduni yanayozingatia mgawanyo wa majukumu kwa kuangalia jinsi (Ke na Me).Jinsia ni nini???
ke na me zikiungana nini kinatokeaNini? Inamaana hujui kuwa ni mahusiano ya kijamii na kiutamaduni yanayozingatia mgawanyo wa majukumu kwa kuangalia jinsi (Ke na Me).
Kinatokea kitotoke na me zikiungana nini kinatokea
Kinatokea kitu cha kawaidake na me zikiungana nini kinatokea
Kawaida yangu kuchangia pointiKinatokea kitu cha kawaida
Point ni alama kwa kiswahiliKawaida yangu kuchangia pointi
kitoto kizuri au kitamuKinatokea kitoto
kiswahili cha kijiweni au mtaaniPoint ni alama kwa kiswahili
Kiswahili kingepoteza maana ya nilichomaanishaPoint ni alama kwa kiswahili
Mtaani kwetu kuna wizi sanakiswahili cha kijiweni au mtaani
sana sana utatakiwa kuwa sungusungu ili uwe salamaMtaani kwetu kuna wizi sana
Salama ya hii nchi ni kumuondoa Magu madarakanisana sana utatakiwa kuwa sungusungu ili uwe salama
madarakani kuna utamu sana hawez kuondoka ndo maana anaitwa jiweSalama ya hii nchi ni kumuondoa Magu madarakani
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembenimadarakani kuna utamu sana hawez kuondoka ndo maana anaitwa jiwe
pembeni kuna wastaafu wanaangalia movie linavyoendeleaJiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
Linavyoendelea kunoga, ndivyo hali inazidi kuwa ngumupembeni kuna wastaafu wanaangalia movie linavyoendelea