reynod
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 386
- 373
Ngumu kama hali ya SomaliaLinavyoendelea kunoga, ndivyo hali inazidi kuwa ngumu
Ngumu kama hali ya SomaliaLinavyoendelea kunoga, ndivyo hali inazidi kuwa ngumu
Ngumu kuamini kama yana tokea TanzaniaLinavyoendelea kunoga, ndivyo hali inazidi kuwa ngumu
Tanzania yetu ya viwanda iachanja mbugaNgumu kuamini kama yana tokea Tanzania
mbuga zetu za wanyama hazivutii sana wataliiTanzania yetu ya viwanda iachanja mbuga
Watalii wa nje wanavutiwa labda watalii wa ndani ndio hawavutiwimbuga zetu za wanyama hazivutii sana watalii
hawavutiwi wote mbugani wanyama wamepunguaWatalii wa nje wanavutiwa labda watalii wa ndani ndio hawavutiwi
hawavutiwi wote mbugani wanyama wamepungua
Samaki nao wameadimika siku hizi...wamepungua sababu wanavuliwa utasema samaki
Samaki nao wameadimika siku hizi
Bongo movie ilikufa na KanumbaHizi ndio siasa za Bongo
kanumba hata watoto wanamkumbukaBongo movie ilikufa na Kanumba
Wanamkumbuka kuliko wanavyokumbuka masomokanumba hata watoto wanamkumbuka
masomo yenyewe hata walimu wanashindwa kufundishaWanamkumbuka kuliko wanavyokumbuka masomo
Kufundisha kugumu kuliko kulimamasomo yenyewe hata walimu wanashindwa kufundisha
kulima sio kwa mchezo mchezo lakiniKufundisha kugumu kuliko kulima
Lakini yeyote anawezakulima sio kwa mchezo mchezo lakini
Anaweza lakini uzoefu ni muhimuLakini yeyote anaweza
muhimu ila sio lazimaAnaweza lakini uzoefu ni muhimu
Mawazo ya Kuku neema ya mwewe,lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Lazima kama kakubali kuolewa,,muhimu ila sio lazima