fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
kidogo ila hakunaga pesa inayotosha
Inayotosha ipo kwa matajirikidogo ila hakunaga pesa inayotosha
matajiri nao wanalalamika kipato hakiwatoshiInayotosha ipo kwa matajiri
Hakiwatoshi kwa sababu wanatamaamatajiri nao wanalalamika kipato hakiwatoshi
wanatamaa kwa sababu utajiri ni kitu kizuriHakiwatoshi kwa sababu wanatamaa
Kizuri kula na mwenziowanatamaa kwa sababu utajiri ni kitu kizuri
mwenzio sipendi kushareKizuri kula na mwenzio
Kushare ni dalili ya kujalimwenzio sipendi kushare
kujali hakuwez kuonyeshwa kwa kushareKushare ni dalili ya kujali
Kushare nini?kujali hakuwez kuonyeshwa kwa kushare
Nini kimefanya nchi nyingi za kiafrika ziwe maskini?Kushare nini?
Maskini kwakuwa hazifanyi kazi ipasavyo kama nchi za ulayaNini kimefanya nchi nyingi za kiafrika ziwe maskini?
Ulaya walinyonya utajiri wetuMaskini kwakuwa hazifanyi kazi ipasavyo kama nchi za ulaya
Wetu umaskini wao utajiriUlaya walinyonya utajiri wetu
Wetu wito ni kupambana nao hao wanyonyajiUlaya walinyonya utajiri wetu
Wanyonyaji hatuwawezi maana hatuna nguvu ya kupambana naoWetu wito ni kupambana nao hao wanyonyaji
Mchawi_inategemea ni mwanga au mloziMpelelezi ni sawa na shushushu na shushushu ni sawa mmbea na mmbea na mchawi___
mlozi ni yule aliyebobea ktk uchawiMchawi_inategemea ni mwanga au mlozi