bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Weye nakukumbuka sana, kumekucha tumshukuru AllahNdani ya huu Uzi sijafika kitambo sana. Hivi unanikumbika bbc au ushanisahau
Mzima weye?
Weye nakukumbuka sana, kumekucha tumshukuru AllahNdani ya huu Uzi sijafika kitambo sana. Hivi unanikumbika bbc au ushanisahau
Mzima weye?
Allah ndio muweza wa yote.Weye nakukumbuka sana, kumekucha tumshukuru Allah
Taifa linatakiwa kunengwa nasi, kila la kheri.Allah ndio muweza wa yote.
Haya bana wacha tukalijenge Taifa.
Kila la kheri kwako pia.Taifa linatakiwa kunengwa nasi, kila la kheri.
Kushukuru kwa Muumba kila uchwao kwa uzima tulio nao ni jambo lililo bora sana.Ni ishara ya kushukuru
Sana Sana atakuomba msamaha tuu na si vinginevyoKushukuru kwa Muumba kila uchwao kwa uzima tulio nao ni jambo lililo bora sana.
Vinginevyo tuishi kwa kufuata maandiko MatakatifuSana Sana atakuomba msamaha tuu na si vinginevyo
Vinginevyo usiendeshe maisha kwa kuiga watu wengine.Sana Sana atakuomba msamaha tuu na si vinginevyo
Wengine wanataka kuwa Kama yeyeVinginevyo usiendeshe maisha kwa kuiga watu wengine.
Hajar naye pia ni mmoja wapo.Wengine saa hizi wanajenga Taifa ujue Hajar
Wapo wengi humu lkn mshindi ni mieHajar naye pia ni mmoja wapo.
Mie ndio mshindi bana. Niachie MkuuWapo wengi humu lkn mshindi ni mie
Mkuu acha ubishi, nitawapiga counter attack mpk ushindi uwe wanguMie ndio mshindi bana. Niachie Mkuu
"Uwe wangu wa milele" ni kijisehemu cha wimbo mmoja hivi wa Kenya sijui aliimbaga naniMkuu acha ubishi, nitawapiga counter attack mpk ushindi uwe wangu
Nani alikua mchezaji wa man united sijui yuko wapi siku hizi"Uwe wangu wa milele" ni kijisehemu cha wimbo mmoja hivi wa Kenya sijui aliimbaga nani
Hizi Ni saa za kazi pia Ni saa za kupumzika kwa walinziNani alikua mchezaji wa man united sijui yuko wapi siku hizi