bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Hakipo kwa sababu kipato kimeongezeka!Kibaba cha mafuta sikuhizi hakipo
Hakipo kwa sababu kipato kimeongezeka!Kibaba cha mafuta sikuhizi hakipo
kimeongezekaje wakat watu bado wanalalamikaHakipo kwa sababu kipato kimeongezeka!
Wanalalamika kwa sababu wavivu wa kufanya kazi.kimeongezekaje wakat watu bado wanalalamika
Kazi nzito mpe MnyamweziWanalalamika kwa sababu wavivu wa kufanya kazi.
Mnyamwezi kama mimi kazi nzito naajiri wafanyakazi.Kazi nzito mpe Mnyamwezi
Wafanyakazi wenye kazi katika kazi zaoMnyamwezi kama mimi kazi nzito naajiri wafanyakazi.
Zao itikadi zimekuwa chakavu mno,hawajifunzi kutokana na makosa.Wafanyakazi wenye kazi katika kazi zao
Makosa Ni mengiZao itikadi zimekuwa chakavu mno,hawajifunzi kutokana na makosa.
Mengi yanajirudia kwa sababu ya uwezo wao mdogo wa kufikiri.Makosa Ni mengi
Sababu kuu ya ccm kuwa madarakani ni ubabe,Nguvu na ujinga wa binadamu wengi wa Tanzania.Kufikiri kupo CCM, chadema wao ni kuropoka tu bila sababu.
Tanzania ni nchi ya maziwa na asali kama isingekua siasa za kutafuta umaarufu kwa viongoziSababu kuu ya ccm kuwa madarakani ni ubabe,Nguvu na ujinga wa binadamu wengi wa Tanzania.
Viongozi wetu walio wengi hawana dira na maono na mipango bora ya kututoa katika dimbwi la umasikini.Tanzania ni nchi ya maziwa na asali kama isingekua siasa za kutafuta umaarufu kwa viongozi
umasikini utaendelea kuliangamiza taifa mpaka jiwe litakapoondolewa pamoja na ccmViongozi wetu walio wengi hawana dira na maono na mipango bora ya kututoa katika dimbwi la umasikini.
CCM,CUF,CHADEMA,UDP,NCCRR,ACT na TLPumasikini utaendelea kuliangamiza taifa mpaka jiwe litakapoondolewa pamoja na ccm
TLP niliifahamu kipindi kile sababu ya uwepo wa Lyatonga Mrema.CCM,CUF,CHADEMA,UDP,NCCRR,ACT na TLP
Mrema pia aliwahi kuwa mwanachama was TLP!TLP niliifahamu kipindi kile sababu ya uwepo wa Lyatonga Mrema.
Mrema akiwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya ndani!TLP niliifahamu kipindi kile sababu ya uwepo wa Lyatonga Mrema.
TLP kirefu chake ni Tanzania Labour Party na kipindi hicho alikuwa Mwenyekiti kama sikosei.Mrema pia aliwahi kuwa mwanachama was TLP!
Ndani ya huu Uzi sijafika kitambo sana. Hivi umekumbika bbc au ushanisahauMrema akiwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya ndani!