bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Ajari na ajali ni tofauti ujue!Ipi ilipata ajari?
Ajari na ajali ni tofauti ujue!Ipi ilipata ajari?
Ujue ama usijue sheria mahakama haina Huruma hata kidogoAjari na ajali ni tofauti ujue!
Mkuu Ni neno pendwa Sana JFKidogo upatacho, ridhika mkuu
JF haina mfanoMkuu Ni neno pendwa Sana JF
Mfano uamke ukute efu moja mia mbili haipo utafanyajeJF haina mfano
Mfano uamke ukute efu moja mia mbili haipo utafanyaje
Kona ya uchochoroUtafanyaje ukikuta bintiyako amebambiwa kwenye kona
Kona ya uchochoro
Wakileo ni ukoo huo,uko uchagani.Uchochoro unawaharibu vijana wakileo
Uchagani hata kijana anaamkiwa mradi tu ana pesa!Wakileo ni ukoo huo,uko uchagani.
Wakileo ni ukoo huo,uko uchagani.
Kutosha kwake ham ikutokeUchagani kunawarembo wa kutosha
Ikutoke yote isibaki hata kidogoKutosha kwake ham ikutoke
Kidogo nikuite lekaka tehIkutoke yote isibaki hata kidogo
Teh teh una kichaa we njingo sio bureKidogo nikuite lekaka teh
Bure ghali, Ukiona unapata vya bure sana jua malipo yake si habaTeh teh una kichaa we njingo sio bure
Haba na haba hujaza kibaba.Bure ghali, Ukiona unapata vya bure sana jua malipo yake si haba
Haba na haba hujaza kibabaBure ghali, Ukiona unapata vya bure sana jua malipo yake si haba
Kibaba cha mafuta sikuhizi hakipoHaba na haba hujaza kibaba.