Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Hongera sana mamii wajua taifa letu bado changa na litajengwa na wenye moyoHajar naye pia ni mmoja wapo.
Hongera sana mamii wajua taifa letu bado changa na litajengwa na wenye moyoHajar naye pia ni mmoja wapo.
Moyo wa mtu ni kichakaHongera sana mamii wajua taifa letu bado changa na litajengwa na wenye moyo
Kichaka cha moyo ndio uzuri wake moyo lazima uwe kichaka cha kutunza siriMoyo wa mtu ni kichaka
Nani kasema siujui huo wimbo? Wameimba The Mushrooms wa pale Mombassa"Uwe wangu wa milele" ni kijisehemu cha wimbo mmoja hivi wa Kenya sijui aliimbaga nani
Mombasa sijawahi kufika.Nani kasema siujui huo wimbo? Wameimba The Mushrooms wa pale Mombassa
Kufika Mombasa ni uamuzi tu, hasa kama watokea TangaMombasa sijawahi kufika.
Tanga RahaKufika Mombasa ni uamuzi tu, hasa kama watokea Tanga
Raha sana Tanga hasa kitembelea Makorora, maana kawaida yao, wadekaTanga Raha
Wadeka wenyewe kwa raha zao.Raha sana Tanga hasa kitembelea Makorora, maana kawaida yao, wadeka
Zao zimekwisha sasa zamu yetu.Wadeka wenyewe kwa raha zao.
Zamu yetu kuwa na vilivyo vyetu.Zao zimekwisha sasa zamu yetu.
Wazungu wametuacha mbali kiukweli japo hii ya kutovipenda vyetu ni hulka na kutokujiamini kwamba na sisi tunaweza.Vyetu hatuvipendi, tunapenda vya wazungu.
tunaweza kufanya makubwa zaid ya haya ni vile hatujiaminiWazungu wametuacha mbali kiukweli japo hii ya kutovipenda vyetu ni hulka na kutokujiamini kwamba na sisi tunaweza.
Hatujiamini kwa sababu imani zetu ndogotunaweza kufanya makubwa zaid ya haya ni vile hatujiamini
tunaweza kufanya makubwa zaid ya haya ni vile hatujiamini
Hatupendani na ndio sababu hatuthaminiani.Hatujiamini kwasababu hatupendani
"Hatuthaminiani" alisema HajarHatupendani na ndio sababu hatuthaminiani.
Hajar ndio jina nilipendalo, lina herufi tano pekee."Hatuthaminiani" alisema Hajar
Pekee hakuna kama wewe.Hajar ndio jina nilipendalo, lina herufi tano pekee.