endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,579
- 2,420
Waaminio kwamba Yesu ni mwokozi wa Maisha yao wamebarikiwaKaburini ni sehemu Safi kwa waaminio
Waaminio kwamba Yesu ni mwokozi wa Maisha yao wamebarikiwaKaburini ni sehemu Safi kwa waaminio
Wabarikiwe wote wake kwa waumeWaaminio kwamba Yesu ni mwokozi wa Maisha yao wamebarikiwa
Vita sio nzurivisa ni vita
Mkuu wa makosa ya jinai atuhumiwa kura rushwaMshindi ni mimi mkuu
Rushwa kwa kiasi kikubwa nchi hii imepaliliwa na CCMMkuu wa makosa ya jinai atuhumiwa kura rushwa
CCM ki uhalisia si chama cha siasaRushwa kwa kiasi kikubwa nchi hii imepaliliwa na CCM
Siasa sasa hivi imeingiliwaCCM ki uhalisia si chama cha siasa
Imeingiliwa na watu wasiojulikanaSiasa sasa hivi imeingiliwa
Wasiojulikana wanajulikana ila hatujaamua kuwajuaImeingiliwa na watu wasiojulikana
Kuwajua wasiojulikana inahitaji moyo,Wasiojulikana wanajulikana ila hatujaamua kuwajua
Moyo wangu ulihisi sitakuona tenaKuwajua wasiojulikana inahitaji moyo,
Watu wasijulikana wapo Tanzania pekeeImeingiliwa na watu wasiojulikana
Tanzania pekee unaweza tekwa na usiwaone wahusikaWatu wasijulikana wapo Tanzania pekee
Wahusika wanajulikana na mabothi; thema kutekana ni ka ushambaTanzania pekee unaweza tekwa na usiwaone wahusika
Ushamba ni niniWahusika wanajulikana na mabothi; sema kutekana ni ka ushamba
Nini tofauti kati ya ustaarabu na ujima?Ushamba ni nini