The Illicit Mc
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 469
- 642
Maralia ni hatari sana kwa wamama wajawazito na watotoMuhimu pia kutoa elimu katika kaya mbali mbali hususani vijijini juu ya athari za maralia
Maralia ni hatari sana kwa wamama wajawazito na watotoMuhimu pia kutoa elimu katika kaya mbali mbali hususani vijijini juu ya athari za maralia
Watoto woote wakubwa wamekimbia Uzi huuMaralia ni hatari sana kwa wamama wajawazito na watoto
Huu Uzi nimebaki nao peke yanguWatoto woote wakubwa wamekimbia Uzi huu
Yangu haina mb.Huu Uzi nimebaki nao peke yangu
Mb ngapi zinahitajika?Yangu haina mb.
Zinahitajika mb 100Mb ngapi zinahitajika?
100 kwa 100 ni marks unazoweza kuzipata Katika paper za practical na sio paper za theoryZinahitajika mb 100
Theory ndo nini?100 kwa 100 ni marks unazoweza kuzipata Katika paper za practical na sio paper za theory
Nini ndo chanzo cha ugomviTheory ndo nini?
Ugomvi unaujua wewe?Nini ndo chanzo cha ugomvi
Wewe ni nani,mbona maswali mengi?Ugomvi unaujua wewe?
Mengi ni mume wa JacklineWewe ni nani,mbona maswali mengi?
Jackline muhaMengi ni mume wa Jackline
Muha Mkigoma amaJackline muha
Ama zako ama zanguMuha Mkigoma ama
Zangu salamu ziwafikie nyie wote na muwe na jumapili njema so farAma zako ama zangu
So far zimefika na kwa niaba yao nakushukuru.Zangu salamu ziwafikie nyie wote na muwe na jumapili njema so far
Nakushukuru kwa uitikiaji wako wa salam kwa niaba yetuSo far zimefika na kwa niaba yao nakushukuru.
yetu safari itaishia kaburinNakushukuru kwa uitikiaji wako wa salam kwa niaba yetu
Kaburini ni sehemu Safi kwa waaminioyetu safari itaishia kaburin