Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,716
- 5,339
Ledada usijibu Mimi ndo mshindi
Mshindi ni mimi mkuuLedada usijibu Mimi ndo mshindi
Ledada anamtetea january kazidi kusingiziwaNini tena ledada
Mkuu usibishane na wataalamuMshindi ni mimi mkuu
Wataalamu si ndo sisiMkuu usibishane na wataalamu
Sisi ndo sisi wengine mafisiWataalamu si ndo sisi
Mafisi mnaokula nyama na kipande cha ngisi ndio nyieSisi ndo sisi wengine mafisi
Nyie mnaonaje jina la mchezo liwe "mchezo usiokua na mwisho".Mafisi mnaokula nyama na kipande cha ngisi ndio nyie
Mwisho mimi nitakuwa mshindiNyie mnaonaje jina la mchezo liwe "mchezo usiokua na mwisho".
Mshindi huwezi kuwa wewe ntakua nakuharibia kama hivi.Mwisho mimi nitakuwa mshindi
Mshindi atapatikana endapo tukishiriki na kufuata vyema sheria zote za mchezo huuHivi manjua kamwe hamtampata mshindi...
Huu ushindi ni wanguMshindi atapatikana endapo tukishiriki na kufuata vyema sheria zote za mchezo huu
Hahahahaa, fuata taratibu za mchezo banaMm mgeni labda Nitakuwa mshindi hahahahha
HahaaaaaaaaaMm mgeni labda Nitakuwa mshindi hahahahha
Mchezo gani usiku huu?Hahahaha naomba kufunga mchezo