Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ujima sikumbuki nilisikia wapi hilo nenoNini tofauti kati ya ustaarabu na ujima?
Ujima sikumbuki nilisikia wapi hilo nenoNini tofauti kati ya ustaarabu na ujima?
Neno tamu kwenye majilio ya mwezi huu ni upendo wa dhati kwa umpendae.Ujima sikumbuki nilisikia wapi hilo neno
Umpendae kwa dhati anaweza kutokukujaliNeno tamu kwenye majilio ya mwezi huu ni upendo wa dhati kwa umpendae.
Kutokukujali kwangu usijali, jali heshima upewayo.Umpendae kwa dhati anaweza kutokukujali
Upewayo pokea haijalishi ni kwa moyo au laaKutokukujali kwangu usijali, jali heshima upewayo.
La muhimu kuheshimiana kupendana kupo tuUpewayo pokea haijalishi ni kwa moyo au laa
Kupo tuu wala sio la kushangaa hiloLa muhimu kuheshimiana kupendana kupo tu
tu ledada hyo avatar yko si ya nchi hiiLa muhimu kuheshimiana kupendana kupo tu
Kupo tu kama ukimpata akupendae kwa dhatiLa muhimu kuheshimiana kupendana kupo tu
Dhati tena ya moyoni kabisa.Kupo tu kama ukimpata akupendae kwa dhati
Kabisa pakiwepo na upendo kutoka moyoni huwa na furaha ya kudumuDhati tena ya moyoni kabisa.
Kudumu pamoja kama wapenzi kwataka kuvumilianaKabisa pakiwepo na upendo kutoka moyoni huwa na furaha ya kudumu
Kudumu kama Babu na bibiKabisa pakiwepo na upendo kutoka moyoni huwa na furaha ya kudumu
Wanaovumilia ni wachache sanaKudumu pamoja kama wapenzi kwataka kuvumiliana
Sanane na dakika ngapi utakuja?Wanaovumilia ni wachache sana
Hivi sasa mchanaSaa sita na dakika ngapi sasa hivi?
Hivi Mwifwa mbona unacheza rafu!Sanane na dakika ngapi utakuja?
Mchana mwema wote humuHivi sasa mchana
Rafu ndio naipenda ili niwapoteze uelekeo hatimaye nishinde mchezoHivi Mwifwa mbona unacheza rafu!