bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Mchezo mzuri mkubaliane namna ya kucheza.Rafu ndio naipenda ili niwapoteze uelekeo hatimaye nishinde mchezo
Mchezo mzuri mkubaliane namna ya kucheza.Rafu ndio naipenda ili niwapoteze uelekeo hatimaye nishinde mchezo
Kucheza vigodoro sipendi kabisaMchezo mzuri mkubaliane namna ya kucheza.
Kabisa Yuda alimsaliti YesuKucheza vigodoro sipendi kabisa
Yesu alikuwa mtoto wa nani?Kabisa Yuda alimsaliti Yesu
Nani anayeweza kujua wakati hakuna aliyekuwepo wakati huo!?Yesu alikuwa mtoto wa nani?
Huo ni uongo usioaminika kamweNani anayeweza kujua wakati hakuna aliyekuwepo wakati huo!?
Kamwe ukimaanisha haiwezekani auHuo ni uongo usioaminika kamwe
Au nimweleze ukweli tuyamalize.Kamwe ukimaanisha haiwezekani au
Tuyamalize vipi wakati uzi unaendeleaAu nimweleze ukweli tuyamalize.
Mgumu ni mtu ambae haelewi kila kitu, tena anakua mbishiUnaendelea kunipa wakati mgumu
Mbishi kama mpishi mbishi aliyepika mchicha mbichiMgumu ni mtu ambae haelewi kila kitu, tena anakua mbishi
Mbichi ama mbivu lazima zijulikane katika uzi huuMbishi kama mpishi mbishi aliyepika mchicha mbichi
"Huu ni mwaka wako wa mwisho"- By ShekheMbichi ama mbivu lazima zijulikane katika uzi huu
Mwisho wa kufanya nini?"Huu ni mwaka wako wa mwisho"- By Shekhe
Nini? Si kutumia mdomo na vidoleMwisho wa kufanya nini?
Vidole vyetu havilinganiNini? Si kutumia mdomo na vidole
Havilingani kama zamaniVidole vyetu havilingani
Zamani nilikuwa siijui JFHavilingani kama zamani
JF ni JamiiForums, jukwaa pendwaZamani nilikuwa siijui JF