Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Tena unaulizia kitu gani?Limekuchosha tena?
Tena unaulizia kitu gani?Limekuchosha tena?
Gani ni nini?Tena unaulizia kitu gani?
Nini unaniuliza?Gani ni nini?
Nitakuuliza chembaNini unaniuliza?
Chemba nimekusubiri hadi nimechoka, naona leo umenisusaNitakuuliza chemba
Sijakususa rafiki yangu najaaaChemba nimekusubiri hadi nimechoka, naona leo umenisusa
Najaaa tele kwenye kiti kama kibongeSijakususa rafiki yangu najaaa
Kibonge cha Mwanamke shughuli yake kitandani usipimeNajaaa tele kwenye kiti kama kibonge
Usipime ukimwi utapata pressure bureKibonge cha Mwanamke shughuli yake kitandani usipime
Bureki imekatikaUsipime ukimwi utapata pressure bure
Kung'atwa na nini?Imekatika baada ya kung'atwa
Nini husababisha ugonjwa wa maralia?Kung'atwa na nini?
Maralia husababishwa na mbu jike ndiye ambae hubeba vimelea vya ugonjwaNini husababisha ugonjwa wa maralia?
Ugonjwa hatari sana huo.Maralia husababishwa na mbu jike ndiye ambae hubeba vimelea vya ugonjwa
Huo ni hatari sana kwa nchi za kanda za kitropiki, maana mazingira husababisha piaUgonjwa hatari sana huo.
Pia kwa pamoja tuseme maralia haikubarikiHuo ni hatari sana kwa nchi za kanda za kitropiki, maana mazingira husababisha pia
Haikubaliki kweli kabisaPia kwa pamoja tuseme maralia haikubariki
Kabisa kutumia chandarua Chenye dawa ni MuhimuHaikubaliki kweli kabisa
Muhimu pia kutoa elimu katika kaya mbali mbali hususani vijijini juu ya athari za maraliaKabisa kutumia chandarua Chenye dawa ni Muhimu