ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,460
- 67,430
Kuumizwa kwenye mapenzi kimekiwa kitu cha kawaida sana miaka hiiWanaopigwa na waume zao kisa wanadai wanapendwa, hawaoni kuumizwa?
Kuumizwa kwenye mapenzi kimekiwa kitu cha kawaida sana miaka hiiWanaopigwa na waume zao kisa wanadai wanapendwa, hawaoni kuumizwa?
Hii ni kutokana na kutopendana kwa dhati ikiambatana na tamaa mbalimbaliKuumizwa kwenye mapenzi kimekiwa kitu cha kawaida sana miaka hii
Mbali na hivyo wanaume ndo visababishi vikuu vya maumivu hayoHii ni kutokana na kutopendana kwa dhati ikiambatana na tamaa mbalimbali
Hayo ni kutokana na mtazamo wako, wote ni chanzo cha maumivu kwa kila mmojaMbali na hivyo wanaume ndo visababishi vikuu vya maumivu hayo
Mmoja ndo anaanza kuharibu mara nyingiHayo ni kutokana na mtazamo wako, wote ni chanzo cha maumivu kwa kila mmoja
Nyingine ni nini inayosababisha kuumiza?Mmoja ndo anaanza kuharibu mara nyingi
kuumizana husababishwa pia michepukoNyingine ni nini inayosababisha kuumiza?
Michepuko yako mingapi?kuumizana husababishwa pia michepuko
Mingapi miaka yako?Michepuko yako mingapi?
Yako wapi mapenzi kwa mchepuko wako?Mingapi miaka yako?
Wako wapi wakina naniliu?Yako wapi mapenzi kwa mchepuko wako?
Wako wapi wakina naniliu?
Msalimu na yeye mwambie namtafutaNaniliu nani le Dada taja jina alafu Dr shika Niko nae hapa anawasalimu
Namtafuta rafiki wa kweli hapaMsalimu na yeye mwambie namtafuta
Gani na gun zina tofauti gani kwani??Abunuasi iv aliotaga ndoto gani?
Hapa jf kuna watu wengiNamtafuta rafiki wa kweli hapa
Wengi wao ni walaghaiHapa jf kuna watu wengi
Wengi wao ni walaghai
Hawafai kuaminiwa hata kidogoWalaghai kama wadada wa mjini meme nasema hawafai
Kidogo mjhd anafaa kuwa rafiki yake ledadaHawafai kuaminiwa hata kidogo