Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Yoyote yule ambaye yupo macho ni nani?ushindi ni wangu bila shaka yoyote
Yoyote yule ambaye yupo macho ni nani?ushindi ni wangu bila shaka yoyote
Nani ni mimi hapa nipo machoYoyote yule ambaye yupo macho ni nani?
Macho kodoNani ni mimi hapa nipo macho
hamlali?Watu wa jf mlale sasa, maana mmekesha mkigombania ushindi wa huu mchezo usio na mwisho.Jicho la kondoo wanaekewa watu
Mwisho ndo huu na mie ndo mshindiWatu wa jf mlale sasa, maana mmekesha mkigombania ushindi wa huu mchezo usio na mwisho.
Mshindi hatakaa apatikane kwenye huu mchezo, tunachoshana bureMwisho ndo huu na mie ndo mshindi
Bure bereshi smatika na airtelMshindi hatakaa apatikane kwenye huu mchezo, tunachoshana bure
Airtel hii hii ya TTCL au?Bure bereshi smatika na airtel
Au watu wamechoka kuchezaAirtel hii hii ya TTCL au?
Kucheza vigodoro ndio mchezo ganiAu watu wamechoka kucheza
Gani msamiati mgumu kuanzisha sentensiKucheza vigodoro ndio mchezo gani
sentensi ipi?Gani msamiati mgumu kuanzisha sentensi
Ipi huoni kama huu uzi auishi!?sentensi ipi?
Auishi Dar, unawasemeaje wanaume wa Dar et wanapigwa na wake zao??Ipi huoni kama huu uzi auishi!?
Zao ni zile zile tuAuishi Dar, unawasemeaje wanaume wa Dar et wanapigwa na wake zao??
Tuhuma hizo unazozisema sio za kweliZao ni zile zile tu
Ukweli wanaujua hao wanaopigwaTuhuma hizo unazozisema sio za kweli
Wanaopigwa na waume zao kisa wanadai wanapendwa, hawaoni kuumizwa?Ukweli wanaujua hao wanaopigwa