Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
Hauishi kwasababu hauna mwisho
Nilivyo ona huu uzi nikajua hauishi
Nilivyo ona huu uzi nikajua hauishi
Mwisho upo na mshindi ni mimiHauishi kwasababu hauna mwisho
Mimi nipo hapa nakushangaa jinsi unavyojidanganyaMwisho upo na mshindi ni mimi
Kudanganyanywa kunafariji dahMimi nipo hapa nakushangaa jinsi unavyojidanganya
Dahiri ina maana gani?Kudanganyanywa kunafariji dah
Gani ni neno gumu kutungia sentence Lakin halikufanyi ushindeDahiri ina maana gani?
Ushindi ni wanguGani ni neno gumu kutungia sentence Lakin halikufanyi ushinde

Ushindane na mimi utaambulia patupu, jipange tenaGani ni neno gumu kutungia sentence Lakin halikufanyi ushinde
Tena msipende vya bureUshindane na mimi utaambulia patupu, jipange tena
Acha ujinga vagina weweTena msipende vya bure
Burette ni kifaa cha maabara kinachotumika kupima ujazo wa kemikaliTena msipende vya bure
Kemikali kama tindikali ni nzuri eenhBurette ni kifaa cha maabara kinachotumika kupima ujazo wa kemikali
Eenh! Watu wameenda wapi mbona pamepooza?Kemikali kama tindikali ni nzuri eenh
Pamepooza kweliEenh! Watu wameenda wapi mbona pamepooza?
Kweli kabisa bora tukaongee peke yetu pembeniPamepooza kweli
Pembeni ndo pazuri kwa muda huu watu hawapoKweli kabisa bora tukaongee peke yetu pembeni
Hawapo wakirudi na sisi tunarudiPembeni ndo pazuri kwa muda huu watu hawapo
Tunarudi kwa kumbiaHawapo wakirudi na sisi tunarudi
Kumbia ni neno geni kwangu, au umechapia?Tunarudi kwa kumbia