Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Msumeno unaokata vyuma au miti?Sheria msumeno,
Msumeno unaokata vyuma au miti?Sheria msumeno,
Miti ya mbao imekuwa adimu sana siku hiziMsumeno unaokata vyuma au miti?
Hizi ni zama za utandawazi mambo yamekuwa rahisi sanaMiti ya mbao imekuwa adimu sana siku hizi
Hizi ni dalili kua kuna wimbi, kubwa la wakataji mitiMiti ya mbao imekuwa adimu sana siku hizi
Miti inatupatia kivuli, inasaidia kuleta mvua, inasaidia kupunguza kasi ya upepo mkali, inazuia mmomonyoko wa udongo.Hizi ni dalili kua kuna wimbi, kubwa la wakataji miti
Udongo walao mama wajawazito, siku hizi unaliwa na wanaume, ndio maana wamegeuka watu wa ndiooooooooo, kazi vigodoro tuh na kutafuta Kiki, vyeo na umaarufu, mwisho wao umefikaMiti inatupatia kivuli, inasaidia kuleta mvua, inasaidia kupunguza kasi ya upepo mkali, inazuia mmomonyoko wa udongo.
Sana mie naona urandawazi umezidisha mambo kuwa magumu, hapa noHizi ni zama za utandawazi mambo yamekuwa rahisi sana
Noma sana tupambane hivyo hivyo tutafanikiwa tu siku ikifikaSana mie naona urandawazi umezidisha mambo kuwa magumu, hapa no
Fika kituo chochote cha afya uonapo dalili za malariaNoma sana tupambane hivyo hivyo tutafanikiwa tu siku ikifika
Malaria haikubalikiiFika kituo chochote cha afya uonapo dalili za malaria
Haikubalikii kudanganya ili ujipatie mali kwa njia ya haramuMalaria haikubalikii
Haramu ni kuuza gongo na piwa mtaani lakn sio mbaya maana hakuna kaziHaikubalikii kudanganya ili ujipatie mali kwa njia ya haramu
kazi zenyewe tumeahidiwa lukuki ila mpaka leo kiini machoHaramu ni kuuza gongo na piwa mtaani lakn sio mbaya maana hakuna kazi
Macho ya paka yana uoni mkubwakazi zenyewe tumeahidiwa lukuki ila mpaka leo kiini macho
mkubwa na wanawe bado ipo kweli?Macho ya paka yana uoni mkubwa
Kweli nimeamini watu wameuchoka huu mchezomkubwa na wanawe bado ipo kweli?
mchezo umewamaliza pumzi wadauKweli nimeamini watu wameuchoka huu mchezo
Wadau bado tupo tunausoma mchezo tuje tuchukue ushindimchezo umewamaliza pumzi wadau
ushindi ni wangu bila shaka yoyoteWadau bado tupo tunausoma mchezo tuje tuchukue ushindi