Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
ledada alipoona uzi umeenda na maji kakimbilia hukuUnalima shamba la bibi baada ya kuwachabo akina ledada?
ledada alipoona uzi umeenda na maji kakimbilia hukuUnalima shamba la bibi baada ya kuwachabo akina ledada?
Ulifutwa? Bora waliwakomesha wakubwa kufanyia sebuleniSisi tulichangamsha uzi ule hadi ukafutwa
Sebuleni ni sehemu ya nyumba ambapo watu wote wanafamilia hupumzikaUlifutwa? Bora waliwakomesha wakubwa kufanyia sebuleni
Huku pia akileta ya ukubwani tutamchongealedada alipoona uzi umeenda na maji kakimbilia huku
Tutamchongea Lemutuz kwann alikubali kuwa na kibamiaHuku pia akileta ya ukubwani tutamchongea
Kibamia ni aina ya mboga yenye mlenda mlendaTutamchongea Lemutuz kwann alikubali kuwa na kibamia
Huku ndo kuzuriledada alipoona uzi umeenda na maji kakimbilia huku
Mlenda unavutikaaKibamia ni aina ya mboga yenye mlenda mlenda
Unavutikaa zaidi ya mlendaMlenda unavutikaa
Mlenda ni mtamu balaaUnavutikaa zaidi ya mlenda
Balaa la lemutuz haliishi leoMlenda ni mtamu balaa
Leo nalala mapema ili niwahi kuamka kuelekea kusaka tongeBalaa la lemutuz haliishi leo
Tonge ni kitu muhimu sanaLeo nalala mapema ili niwahi kuamka kuelekea kusaka tonge
Sana kama kile utakachokichuma ni halaliTonge ni kitu muhimu sana
Penye halali kuna amani siku zoteSana kama kile utakachokichuma ni halali
zote nazijua mimiPenye halali kuna amani siku zote
Mimi piaazote nazijua mimi
Piaa natamani niuone liveMimi piaa
Laisi ni nani mkuu?Live bila chenga hii nchi tunapelekwa wapi na huyu laisi