Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Habari wanaJF,

Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
uje na huku

SWALI: KIPI UNGEBADILI KWA MPENZI WAKO?...

Story: Money Penny ni nani lakini?!

Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili....
lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Tena nitapitia bar kutoa lock.
mzima hamjui mgonjwa.
mzima hamjui mgonjwa.
Kawaida ndo mpango mzima.
Fumanizi sio jambo la kawaida
udhaifu hauna tofauti na matopetope
 
Back
Top Bottom