Aliyejuu mngoje chiniMkuu ni Mungu pekee yake hapa duniani wote wana wa aliejuu
Simba huyu huyu alitoka kupakatwa juzi Zanzibar?Chini kuna simba
Utalii wa ndani ni uzalendoZanzibarni pazuri kwa utalii
Uzalendo bongo?Utalii wa ndani ni uzalendo
Bongo bahati mbayaUzalendo bongo?
mbaya zaidi bongo kunazidi kuwa hovyoBongo bahati mbaya
Sema ulizoea sana miteremkombaya zaidi bongo kunazidi kuwa hovyo
Hovyo kabisa, mimi nahamia zangu Syriambaya zaidi bongo kunazidi kuwa hovyo
Syria kunaanza kuonekana kuna unafuu sasaHovyo kabisa, mimi nahamia zangu Syria
mteremko upi?Sema ulizoea sana miteremko
Sasa tufunge huu uzi ili niwe mshindiSyria kunaanza kuonekana kuna unafuu sasa
mshindi yu ngali kupatikana japo najua fika hilo taji ni languSasa tufunge huu uzi ili niwe mshindi
Langu jichomshindi yu ngali kupatikana japo najua fika hilo taji ni langu

Duniani kuna watu na viatuJicho huona mengi duniani
huviwezi kama mguu wako hautoeneaViatu vya mwingine huviwezi