Ednatha
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 489
- 666
Yetu macho, nyie pigeni kazi sisi tunapiga porojo tu!Kazi kazi km anavyosema kiboko yetu
Yetu macho, nyie pigeni kazi sisi tunapiga porojo tu!Kazi kazi km anavyosema kiboko yetu
Tu ni neno gumu kufungia huu mjadala,naomba niufunge huu mjadala leoYetu macho, nyie pigeni kazi sisi tunapiga porojo tu!
Leo haiwezekani kufunga huu mjadala, labda mwakani majira kama haya.Tu ni neno gumu kufungia huu mjadala,naomba niufunge huu mjadala leo
Leo haiwezekani kufunga huu mjadala, labda mwakani majira kama haya.Tu ni neno gumu kufungia huu mjadala,naomba niufunge huu mjadala leo
Sanaa au sana?Haya maisha ya porojo matamu sanaa
Sanaa ya michezo au sanaa ya wanasiasaSana ila kwa msistizo sanaa![]()
Yetu kivipi, hii nchi ni yaoWanasiasa wengi hapa Tanzania wanachangia umasikini wa hii nchi yetu
Mdau mwenzangu, sahau kumiliki hii nchi ina wenyeweYao sawa ilatambua itakuwa yetu one day mdau
Sisi tulichangamsha uzi ule hadi ukafutwaWenyewe ndo sisi
Ukafutwa sababu lugha iliyokuwa ikiandikwa ilikuwa ya kutukanaSisi tulichangamsha uzi ule hadi ukafutwa
Kutukana??tulimtukana nani?Ukafutwa sababu lugha iliyokuwa ikiandikwa ilikuwa ya kutukana
Kulala muda badoNani kapika pilau nije kula?
Kula?? Kwani kwako hupiki?Nani kapika pilau nije kula?
Hupiki bamia leo?Kula?? Kwani kwako hupiki?