Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
Juzi nililala barNapatana sana na wewe toka juzi
Juzi nililala barNapatana sana na wewe toka juzi
Barabara ya mwendokasi inapita katikati ya barabara zingineJuzi nililala bar
Zingine ni nyembamba mpaka keroBarabara ya mwendokasi inapita katikati ya barabara zingine
Kero kwa baadhi ya wana Jf inasikitisha sanaZingine ni nyembamba mpaka kero
Sanasana nilitaka kuuliza mshindi wa huu mchezo anapata zawadi ganiKero kwa baadhi ya wana Jf inasikitisha sana
Ganiki ni aina ya nguo iliyokuwa inapendwa sana na mabibi zetuSanasana nilitaka kuuliza mshindi wa huu mchezo anapata zawadi gani
Zetu simu ni janjaGaniki ni aina ya nguo iliyokuwa inapendwa sana na mabibi zetu
Janjaroo kaamua kujilipua kwa UwoyaZetu simu ni janja
Uwoya ni mzuri sanaJanjaroo kaamua kujilipua kwa Uwoya
Sanawari ni sehemu moja ipo miongoni mwa majiji hapa nchiniUwoya ni mzuri sana
Haya ndohu boss wanguLeo haiwezekani kufunga huu mjadala, labda mwakani majira kama haya.
Sana ledada...hivi ledada kwanink ledada?Haya maisha ya porojo matamu sanaa
Ledada ni me au keSana ledada...hivi ledada kwanink ledada?
Wanasiasa kama wewe ni waongo sanaSanaa ya michezo au sanaa ya wanasiasa
Yetu sote hili taifa,haina haja ya kugombanaWanasiasa wengi hapa Tanzania wanachangia umasikini wa hii nchi yetu
Waongo sana kama wewe unayeshindwa kifuata taratibu za mchezoWanasiasa kama wewe ni waongo sana
Mchezo sisi ndiyo waanzilishi so kitulize mkuu, hate the game not a playerWaongo sana kama wewe unayeshindwa kifuata taratibu za mchezo
Ke mmoja matataLedada ni me au ke
Player master ndio mimi hapa lazima nikumbushie utaratibuMchezo sisi ndiyo waanzilishi so kitulize mkuu, hate the game not a player
Utaratibu huu ufePlayer master ndio mimi hapa lazima nikumbushie utaratibu