dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Michepuko sio dili kamanda baki njia kuuHizi ni mbinu mpya za kukwepa mizinga ya michepuko
Michepuko sio dili kamanda baki njia kuuHizi ni mbinu mpya za kukwepa mizinga ya michepuko
kuu la maadui anazidi fanya maisha kuwa magumuMichepuko sio dili kamanda baki njia kuu
Kuunganisha mioyo ya watu iliyotengana ni jambo zito sana linahitaji uvumilivu na hekimaMichepuko sio dili kamanda baki njia kuu
hekima ni kitu cha thamani kuliko vyoteKuunganisha mioyo ya watu iliyotengana ni jambo zito sana linahitaji uvumilivu na hekima
Hekima na busara vinahitajika sana kwenye hiki kipindiKuunganisha mioyo ya watu iliyotengana ni jambo zito sana linahitaji uvumilivu na hekima
Hekima ni jambo la msingi, ila iwepo nia ya dhati na sio unafikiKuunganisha mioyo ya watu iliyotengana ni jambo zito sana linahitaji uvumilivu na hekima
Kipindi cha pili natarajia tupate ushindi mnonoHekima na busara vinahitajika sana kwenye hiki kipindi
Mnono endapo cdm watashinda ila lasivo bao la mkono litahusika kama kawaidaKipindi cha pili natarajia tupate ushindi mnono
Kawaida ya huu mchezo ni kulike post ya kila mmoja halafu unaquote post ya mwishoMnono endapo cdm watashinda ila lasivo bao la mkono litahusika kama kawaida
Kawaida wakiizoea itawakostiMnono endapo cdm watashinda ila lasivo bao la mkono litahusika kama kawaida
Itawakosti ni aina gani neno?Kawaida wakiizoea itawakosti
Neno la kiswanglishItawakosti ni aina gani neno?
Kiswanglish ndio lugha ganiNeno la kiswanglish
Lugha gani wewe unadhaniKiswanglish ndio lugha gani
Unadhani kwa staili hiyo tutafikaLugha gani wewe unadhani
Tutafika saa ngapi sasa mbona mpo taratibu mnoooUnadhani kwa staili hiyo tutafika
Stori tena kubwa; yaani jamaa wameamua kukata deni juu kwa juu ivi iviBombadier Q400 imebaki stori
Tutafika, ila wa style gani hilo ndio swaliUnadhani kwa staili hiyo tutafika
swali ni jambo linalohitaji majibuTutafika, ila wa style gani hilo ndio swali