Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Awamu ijayo sijui kama nitampa kura yangu
Yangu maana haikuwa mbaya daderi wangu emmyta, na mkuu Arlen. Kugalagala ni mithili ya kuviringika/biringika(kadri ya rahaja) ardhini, aidha kwa uchungu(kilio kikuu) au shangwe(furaha upeo).
Ila kwenye tungo yangu nilimaanisha daderi emmy ni mpenzi wa uzi huu, hivyo huwezi mkosa humu ndani, emmyta hugalagala na uzi huu.
 
Uzi huu kweli burudani. Shukrani mkuu kwa maelezo yako yaliotukuka
 
Bana bashite
c74a7136d0de5811a89ee89210484d05.jpg
 
Back
Top Bottom