Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,113
- 122,508
Kuingia humu jf sijawahi kuacha hata siku mojaJibu letu ni muhimu. Natumai hatosahau kutujibu akipata wasaa wa kuingia humu
Kuingia humu jf sijawahi kuacha hata siku mojaJibu letu ni muhimu. Natumai hatosahau kutujibu akipata wasaa wa kuingia humu
moja ya hizi siku za karibuni nilizokuona humu jf ina maana haikuwa wewe?Kuingia humu jf sijawahi hata siku moja
Wewemoja ya hizi siku za karibuni nilizokuona humu jf ina maana haikuwa wewe?
nimejichanganya nilichotaka kuandika ujue. Nilitaka kumaanisha sijawahi acha kuingia humu jfWewe![]()
nimejichanganya nilichotaka kuandika ujue. Nilitaka kumaanisha sijawahi acha kuingia humu jf
Hujawahi kuona mtu anakosea jamani bbc. Nimekosea tu pale.JF pazuri. Niliusoma uzi wako nikashangaa kwamba hujawahi!
pale ulinichanganya ujue. Nikajua kumbe nilikua naongea na nani siku zote zileHujawahi kuona mtu anakosea jamani bbc. Nimekosea tu pale.
Zile ni ile hali ya kuandika kwa haraka pasi kurudia kusoma nilichoandika. Pole sana.pale ulinichanganya ujue. Nikajua kumbe nilikua naongea na nani siku zote zile
Pale ulipokosea nilipagundua.Hujawahi kuona mtu anakosea jamani bbc. Nimekosea tu pale.
sana sana basi ujitahidi kupitia kabla ya kusoma maana ipo siku utatuma ujumbe nuksi hahahaZile ni ile hali ya kuandika kwa haraka pasi kurudia nilichoandika. Pole sana.
Nilipagundua kwa kuchelewa mkuu ila nimesha parekebisha tayari.Pale ulipokosea nilipagundua.
Nilipagundua kwa kuchelewa mkuu ila nimesha parekebisha tayari.
Tayari, hata mimi naona.Nilipagundua kwa kuchelewa mkuu ila nimesha parekebisha tayari.
Mimi naona niwe mshindiTayari, hata mimi naona.
mshindi bado kupatikanaMimi naona niwe mshindi
Kupatikana tayarimshindi bado kupatikana
tayari ishajulikana kuwa mimi ndo nitaufunga huu uziKupatikana tayari
Uzi huu ipo kazitayari ishajulikana kuwa mimi ndo nitaufunga huu uzi
kazi kweli kweliUzi huu ipo kazi
Kweli hii ndio Tanzania ya Viwandakazi kweli kweli
Viwanda ili viwepo Tanzania labda awamu ijayoKweli hii ndio Tanzania ya Viwanda