Original ndiyo nini?Haudumu maana sio original
Hapa panatafutwa mshindiNini kinatafutwa hapa?...
Gani ni kifaa cha kuchomeleaMshindi wa kitu gani?
Kuchomelea vyuma, Nayo imekuwa ajiraGani ni kifaa cha kuchomelea
Ajira kwa vijanaKuchomelea vyuma, Nayo imekuwa ajira
Vijana sikuhizi, hawapendi kazi kabisaAjira kwa vijana
Kabisa. Wanapenda kujiajiri..Vijana sikuhizi, hawapendi kazi kabisa
Ama kweli uongo haudumu.
Adimu sana siku hizi kupata bikraAjira nayo imekuwa adimu
Kujiajiri sio lelemama.Kabisa. Wanapenda kujiajiri..
Bikra Maria mtakatifuAdimu sana siku hizi kupata bikra
Mtakatifu ni yule aliyeepusha na makatazo ya mola wake na akashimana na maamirisho yakeBikra Maria mtakatifu
Yake ni mamlaka tu, mengine hayamuhusu.Mtakatifu ni yule aliyeepusha na makatazo ya mola wake na akashimana na maamirisho yake