leo ni siku nyingine njemaHuyo ameiona asubuhi ya leo
Njema kuliko janaleo ni siku nyingine njema
Jana ilikuwa jumapili.Njema kuliko jana
kweli eh? maana yake nini?Bough ni msamiati ndio maana wengi wamelala mbele kweli kweli
Nini hatma ya vita baridi vya Marekani na Korea ya Kaskazini!kweli eh? maana yake nini?
kaskazini mwa Tanzania ndipo Nyerere alipotokeaNini hatma ya vita baridi vya Marekani na Korea ya Kaskazini!
Nini ambacho hukipendi sana?Alum ndio nini?
Sana sipendi vurugu huwa napenda Amani.Nini ambacho hukipendi sana?
Amani hutakiwi kuipenda wakati wa vita utakufa mapemaSana sipendi vurugu huwa napenda Amani.

Mapema huwa nawahi kuamka kwa sababu nawahi kulala piaAmani hutakiwi kuipenda wakati wa vita utakufa mapema![]()
Pia inatakiwa uwe unafanya mazoezi kabla ya kulalaMapema huwa nawahi kuamka kwa sababu nawahi kulala pia
Kulala ndio ugonjwa wanguPia inatakiwa uwe unafanya mazoezi kabla ya kulala
Wangu naona hapa nimechemka cha kuandikaKulala ndio ugonjwa wangu
Kuandika bia kukosea ukiwa unatumia smart phone inataka umakini wa hali ya juuWangu naona hapa nimechemka cha kuandika