bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Mzima, nadhani kama wewe, nalijenga Taifa.Ningekujibu basi, mi ningekaa tu kimya. Mzima?
Mzima, nadhani kama wewe, nalijenga Taifa.Ningekujibu basi, mi ningekaa tu kimya. Mzima?
Taifa la TanzaniaMzima, nadhani kama wewe, nalijenga Taifa.
Tanzania itajengwa na wenye moyo kama nyie!Taifa la Tanzania
Nyie wazee ndio nawatafuta niwaone.Tanzania itajengwa na wenye moyo kama nyie!
Niwaone nyie vijana zamani mkiitwa taifa la kesho!Nyie wazee ndio nawatafuta niwaone.
Kesho hakuna anayeijua.Niwaone nyie vijana zamani mkiitwa taifa la kesho!
Anayeijua yupo, Mwenyezi Mungu.Kesho hakuna anayeijua.
Mwenyezi mungu mwingi wa rehma na mwenye kurehemu.Anayeijua yupo, Mwenyezi Mungu.
Mwenye kurehemu ni huyo mmoja tu! Halafu emmy mbona tukiwa wote nyumbani si mwongeaji ki hivyo?Mwenyezi mungu mwingi wa rehma na mwenye kurehemu.
Hivyo bbc mi huwa naongea sana jamaani wacha kunisingizia bana.Mwenye kurehemu ni huyo mmoja tu! Halafu emmy mbona tukiwa wote nyumbani si mwongeaji ki hivyo?
Bana, mitaani ongea kidogo utaibiwa ila nyumbani ndiyo uongee sana.Hivyo bbc mi huwa naongea sana jamaani wacha kunisingizia bana.
Sana sana bbc unanisingizia ujueBana, mitaani ongea kidogo utaibiwa ila nyumbani ndiyo uongee sana.
Ujue tu kwamba sasa naondoka nakimbiza faili, tutaonana nyumbani, au siyo!Sana sana bbc unanisingizia ujue
Mwingine, Cofta umerudi, ni kweli.Siyo wakwako, emmyta niwa mtu mwingine
Sanaa ni ufundi, ni kazi fulani ya ufundi ambapo aliyefanya hivyo huitwamsaniiKweli cku ya leo ni nzito sanaa
Sana ila kwa uwezo wa mungu itakwishaKweli cku ya leo ni nzito sanaa
Itakwisha na itasahaulika pia
itasahaulika pia ila sio kirahisi kama unavyodhania weweItakwisha na itasahaulika pia
Wewe bado upo macho usiku huu.itasahaulika pia ila sio kirahisi kama unavyodhania wewe